Baadhi
ya vijana wakijaribu kupanga mawe chini ya gari aina ya Fuso lenye
usajili namba T453BGF ambalo lilikwama kwenye korongo lililosababishwa
na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo. Fuso hilo lilikuwa likitoka
Sumbawanga kwenda Kilida lilisababisha magari kukwama kwa saa kadhaa.
Fuso
lenye usajili namba T453BGF likiwa limenasa kwenye korongo karibu na
culvert kwenye barabara ya Sitalike –Usevya-Majimoto-Mamba. Korongo hilo
lilisababishwa na maporomoko ya maji kutoka milima ya Ufipa kutokana na
mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo. Fuso hilo lilikuwa
likitoka Sumbawanga kwenda Kilida lilisababisha magari kukwama kwa saa
kadhaa. (Picha:Irene Bwire wa Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment