Nafasi Ya Matangazo

December 09, 2012

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) kupitia Basaza katika sherehe za  kutunuku nishani mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Dar des Salaam,katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam,(katikati)Rais  Mstaafu wa Tanzania Mzee Mwinyi.
Posted by MROKI On Sunday, December 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo