Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Steve Gannon akinyanyua juu
bia mpya ya Tusker Lite wakati wa uzinduzi wake rasmi uliofanyika mbele
ya maafisa masoko wa makampuni mbalimbali nchini wakati wa tafrija
maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam jana
Mkurugenzi
Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru akizungmza
mara baada ya uzinduzi wa bia mpya ya Tusker Lite wakati wa uzinduzi
wake rasmi uliofanyika mbele ya maafisa masoko wa makampuni mbalimbali
nchini wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam
jana.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti,Steve Gannon (wapili kulia) , akiwa
pamoja na wafanyakazi wa SBL wakigonganisha chupa zao za Tusker Lite
kuashiria furaha ya kuzinduliwa kwa bia hiyo mpy. Tusker Lite
ilizinduliwa wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es
Salaam jana.
Wafanyakazi
wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakiwa na mmoja wa washindi wa
shindano maalum la uchezaji mziki lililofanyika katika usiku maalum wa
Maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana. Mshindi huyo wa pili
alizawadiwa Glass maalum ya Tusker Lite, bia mpya iliyozinduliwa usiku
huo.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru (mwenye
suti kushoto) akimkabidhi zawadi ya Tusker Lite, Meneja bidhaa wa Push
Mobile, Gonzoga Rugambwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa shindano
maalum la uchezaji mziki lililofabnyika wakati wa uzinduzi wa bia ya
Tusker Lite sanjari na usiku wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia
matukio mbalimbali wakati bia mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari
na usiku maalum wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana.B
aadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia matukio
mbalimbali wakati bia mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari na
usiku maalum wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana.
Viongozi mbalimbali wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwa ukumbini hapo.
Burudani ilikuwepo kama kawaida
Ilikuwa raha tu.
Hii ilikuwa burudani tosha maana jamaa walionesha vipaji vyao si mchezo.
wadau wa EATV nao walikamatia zawadi zao baada ya mwakilishi wa meza yao kufanya vyema katika kulisakata dance
vimwana hawa walipamba vilivyo uzinduzi huo.
wadau wa SBL wakifuatilia matukio maana viti vilikuwa havikaliki.
hapa sasa ni Kushow love kwa pamoja.
0 comments:
Post a Comment