MATOKEO
ya uchaguzi wa wajumbe wa NEC katika kura zilizopigwa juzi mjini Dodoma katika
mkutano wa nane wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yametangazwa.
Akitangaza matokeo hayo Kada wa Chama cha Mapinduzi na
Mjumbe wa NEC, Spika wa Bunge Anne Makinda amewataja walioshinda nafasi hizo ni
kama ifuatavyo.
Walioshinda
nafasi 10 Zanzibar:
Mbunge wa
Uzini, Mohamed Seif Khatib; Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Ali
Mwinyi, Waziri wa Fedha Zanzibar, Omar Yussuf Mzee, Abdulhakim Chasama na
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Shamsi Vuai Nahodha.
Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Khadija Hassan Aboud, Bhaguanji Mansuria, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na Khamis Mbeto.
Walioshinda nafasi 10 Bara

Majina ya
wajumbe wa Nec walioshinda bara na kura walizopata katika mabano ni Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira aliyeongoza kundi
hilo kwa kupata kura 2,135, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,
January Makamba (2,093), Mwekahazina wa CCM, Mwigulu Nchemba (2012), na Katibu
wa UVCCM, Martine Shigela (1,824).
Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi (1,805), Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Bernard Membe (1,455), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo (1,414), Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Jackson Msome (1,207), Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (1,174) pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Fenela Mukangara (984).

Awali matokeo
haya yalivuja siku moja kabla isipokuwa kukosewa kwa kura za Mchemba pekee.
Wajumbe wa Mkoa wa Mtwara
Wajumbe wa Singida mambo ni safi
Wajumbe wa Tanga
Morogoro wapo
Huko Kagera nao wapo
Mwanza nao wapo
Wajumbe wa mkutano
Viongozi wa Serikali
Kutoka Singida
Wajumbe kutoka Iringa
Wajumbe kutoka mkoa wa Geita wakiwa mkutanoni.
0 comments:
Post a Comment