Mtaalam wa tiba ya
magonjwa ya moyo nchini, Dk. Ferdinand Masau, akiwaonyesha sehemu ya jengo
jipya la hospitali yake, wawakilishi wa mashirika ya kimataifa kutoka Marekani,
walipotembelea kuona ujenzi wa hospitali hiyo itakayojulikana kama Dk.
Ferdinand Masau Hearth Institute Limited (MHI), iliyopo Mbweni nje kidogo ya
jiji la Dar es Salaam.
Mtaalam wa tiba ya magonjwa ya moyo nchini, Dk. Ferdinand Masau, akiwaonyesha sehemu ya vifaa vya kisasa vya matibabu ya moyo.
0 comments:
Post a Comment