Nafasi Ya Matangazo

October 13, 2012

 Washiriki wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012 wakipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
 Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda hicho cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walipotembelea kiwanda hicho jana.

Ziara iliendea
Tumetembea sana hapa tupumzike kidogo...
hapa panafaa kwa picha ndio alivyosema mrembo huyu kutoka Kanda ya Ziwa
Mshiriki wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa pool dhidi ya Timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda hicho cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo katika pozi
 
Washiriki wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakicheza mziki aina ya Kwaito mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea Kiwabnda cha TBL cha mjini Arusha jana. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Posted by MROKI On Saturday, October 13, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo