Timu ya
katonga A ambao ni mabingwa wa mkoa wa Kigoma wakimaliza mashindano ya
kupiga makasia ya Bia ya Balimi kwenye Ziwa Tanganyika.
Meneja wa
Bia ya Balimi Edith Bebwa kulia akishuhudia namna wachezaji wa timu
mbalimbali walivyokuwa wakitoana jasho kwenye fainali ya Mashindano ya
Kupiga makasia ya Bia ya Balimi kwenye ziwa Tanganyika.
Mabingwa wa mashindano ya Balimi boat race mkoa wa kigoma upande wa
wanaume Timu ya Katonga A wanaume wakishangilia mara baada ya kuwa
mabingwa wa mkoa huo na kukabidhiwa jumla ya shilingi laki tisa kama
zawadi ya ushindi wa kwanza.
Mkuu wa
Wilaya ya Kigoma Mh Ramadhani Maneno akimkabidhi kitita cha Shilingi
laki saba kepteni wa timu ya wanawake ya upendo bi mawazo shaban Juhudi
mara baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hiyo.
0 comments:
Post a Comment