Nafasi Ya Matangazo

October 22, 2012

 MAGDALENA RWEBANGIRA KUTOKA (TAWLA) AKICHANGIA MADA YA PILI AMBAYO NI UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAENDELEO YA MWANAMKE
 TUPO NA MAMA GETRUDE MONGELA KATIKA KONGAMANO HILI
 HAYA NI MALENGO YA KONGAMANO HILI YAKINAKILIWA
 KILA ALIYEHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILI ANAWEZA FUATILIA VYEMA KONGAMANO HILI, WENYE ULEMAVU WA UZIWI NAO WANAELEKEZWA NA KUFUATILIA

ANNA HENGA KUTOKA LHRC ALICHANGIA MADA YA PILI
FESTA ANDREW TOKA TGNP AKICHANGIA MADA YA PILI

NIKO KIKAZI ZAIDI NA MARIA SARUNGI AKINIPA MAUJUZI JUU YA KATIBA NAMENGINEYO YAHUSUYO KONGAMANO HILI LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA TANZANIA


ASUBUHI KONGAMANO HILI LILIVYOFUNGULIWA

KONGAMANO  LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA LINAFANYIKA  NDANI YA UKUMBI WA BLUE PEARL MUDA HUU, KONGAMANO HILI LA SIKU TATU LINAHUSISHA WANAWAKE TOKA SEHEMU TOFAUTI NCHINI WENYE KAZI NA NYADHIFA TOFAUTI KUANZIA WAJASIRIAMALI, WAFANYAKAZI, WANAHARAKATI  NK.

http://8020fashions.blogspot.com/2012/10/kongamano-la-haki-za-wanawake-na-katiba.html.
Posted by MROKI On Monday, October 22, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo