Nafasi Ya Matangazo

October 18, 2012

Emmanuel Masele akizima mshumaa wakati wa hafla ya kuazaimisha miaka 8 ya kuzaliwa  iliyofanyika shuleni kwao  Sunrise  Primary School and Nursery  school jijini Dar es Salaam.kulia ni Abubakar Muhidin na Ahamed Ally.
Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise  Primary School and Nursery  schoo, Neema Daniel akiwa amewakumbatia wanafunzi wake wakati wa kusherehekea bithday ya Emmanuel Masele katikat wakati alipotimiza miaka 8 ya kuzaliwa ,kulia ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahamed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.

Emmanuel Masele akikata keki wakati wa hafaya ya kuazimisha miaka 8 ya kuzaliwa kweke iliyofanyika katika shule ya Sunrise  Primary School and Nursery  school jijini Dar es Salaam.kulia ni Abubakar Muhidin na Ahamed Ally.
Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise  Primary School and Nursery  schoo, Neema Daniel akimsaidia kukata keki Emmanuel Masele  wakati wa kusherehekea bithday ya miaka 8 ya kuzaliwa  ,kulia ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahamed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Masele  akigawa vipande vya keki kwa wanafunzi wenzake wakati wa kusherehekea bithday yake ya miaka 8 ya kuzaliwa  ,kulia ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahamed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Masele  akigawa soda kwa wanafunzi wenzake wakati wa kusherehekea bithday yake ya miaka 8 ya kuzaliwa  ,kulia ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahamed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Thursday, October 18, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo