Mkurugenzi
wa kijiji cha watoto yatima cha SOS , Rita Khuranga (Mkurugenzi wa
SOS Tanzania Dr Daudi Makobore (mjumbe wa bodi)(wa mwisho kushoto)
wakipokea cheki ya shilingi milioni 2.000.000 kutoka kwa Bw. D.Ravi
Kumar wa kampuni ya Tanzania Tea Blanders, kwaajili ya kuwasomesha
watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto
yatima SOS. JIJINI DAR jana.
Mkurugenzi
wa SOS Tanzania Dr Daudi Makobore na Bw. D.Ravi Kumar
wakibadilishana mikataba mara baada ya kuasini msaada wa shilingi
milioni kampuni ya Tanzania Tea Blanders, kwaajili ya kuwasomesha watoto
40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima
SOS. JIJINI DAR jana.
Mjumbe
wa bodi ya SOS Daudi Makobore akisaini makataba wa utambulisho( MOU)
kati ya SOS na Tnzania Tea Blanders kwaajili ya kuwasomesha watoto 40
kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima.
0 comments:
Post a Comment