Wasanii
wa Kikundi cha Shada, wakifanya onyesho la sarakasi katika ufunguzi wa
tamasha la kimataifa la Sanaa Bagamoyo. Tamasha hilo limefunguuliwa
rasmi Jumatatu na litaendelea kwa siku tano hadi Jumamosi ijayo
Moja kati ya mambo yaliyokuwa kivutio kikubwa ni jinsi watoto hao walivyoonyesha umahiri katika kuruka kwenye maringi.
Wasanii wa kundi la Jeshi wakifanya onyesho la Mzingaombwe katika Tamasha la Sanaa la Bagamoyo.
0 comments:
Post a Comment