Naibu
Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake,Dr Asha-Rose Migiro(wa tatu
kushoto)akisalimiana na Afisa elimu Manispaa ya Arusha,Omary Mkombole
mara baada ya kuwasili kufungua mkutano wa mawaziri wa serikali za mitaa
wa Afrika Mashariki mjini Arusha.
Naibu
Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake,Dr Asha-Rose Migiro akifungua mkutano
wa mawaziri wa serikali za mitaa wa Afrika Mashariki kwenye hoteli ya
Impala mjini Arusha leo.
Viongozi
mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa mawaziri wa serikali za mitaa wa
Afrika Mashariki kwenye hoteli ya Impala mjini Arusha leo.
Naibu
Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake,Dr Asha-Rose Migiro(wa nne
kulia)akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kwenye picha
ya pamoja baada ya kufungua mkutano wa mawaziri wa serikali za mitaa wa
Afrika Mashariki mjini Arusha.
0 comments:
Post a Comment