Magari yakiwa katika foleni
katika kipande cha barabara ambacho kampuni ya Ujenzi ya AARSLEFF-INTERBETON JV
inaendelea kukujengwa kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo wa barabara ni kutoka
Iringa hadi Mafinga. Kampuni hiyo pia ilijenga kipande cha barabara kutoka
Iyovi hadi Iringa na kile kipande kidogo cha kuingia Iringa mjini “access road”.
Madereva wamekuwa wakilala mika kusimama
kwa muda mrefu katika maeneo hayo na kuchelewa safari.
Barabara ikiwa imefunguliwa na
magari ya upande mmoja kuruhusiwa kupita.
Wakiendelea kusubiri wenzao wapite
Mafundi wa kampuni ya Ujenzi ya AARSLEFF-INTERBETON JV wakiendelea
na ujenzi
0 comments:
Post a Comment