Shindalo la Uchoraji Kwa Taasisi za Kielimu
Image Profession ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA)
kwa mara nyingine inatangaza kuanza kwa muhula mpya wa pili wa Shindano ya Uchoraji
maalumu kwa Taasisi za elimu.
Shindano
ambalo pia linajulikana Kama: Educational Drawing Competition au Image
Profession Educational Drawing Competition, lina malengo ya kuibua vipaji
katika fani ya uchoraji kwa kuzingatia uwekezaji kwa watoto na vijana.
Theme/Wazo
kuu la mwaka huu: ART IMITATES LIFE au SANAA HUFUATISHA MAISHA
Makundi
ya ushiriki
´ Chekechea,
´ Elimu ya Msingi,
´ Elimu ya Sekondari na
´ Elimu ya Juu
Kwa
maelezo na taratibu za Shindano tembelea Facebook Page/Group “Tanzania
Drawing Competition” au wasiliana na BASATA au
DRAWING
COMPETITION – IMAGE PROFESSION,
P O BOX 92 DAR ES
SALAAM.
SIMU: +255 222
664 740 / +255 713 484 040
/ +255 714 676
217 / +255 716 430 084
EMAIL: info@imageprofession.com
0 comments:
Post a Comment