Malkia
wa Redd's Miss Tameke 2012, Edda Sylvester (katikati), akiwa na mshindi
wa pili Flavian Maeda (kushoto), pamoja na Catherine Masumbigana
aliyeshika nafasi ya tatu katika kilele cha mashindano hayo, Ukumbi wa
PTA Sabasaba, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Mwandaaji
wa mashindano ya Redd's Miss Temeke 2012, Benny Kisaka wa Kampuni ya
BMP Promotions, akitangaza washindi watatu wa mashindano hayo.
Warembo
watano, walioingia tano bora wakiwa wamepozi baada ya kutangazwa na
majaji wa shindano la kumsaka Malkia wa Redd's Miss Temeke, ukumbi wa
PTA Sabasaba, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Kutoka kushoto
ni Jesca Haule, Flavian Maeda, Catherine Masumbigana, Edda Sylvester na
Agness Gudluck.
0 comments:
Post a Comment