Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Mh. Silaa akimkabidhi Bi. Hadija ambae ni mkazi wa mtaa wa Kilimo; ndoo ya maji aliyoyachota kutoka katika kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa mtaa huo
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni diwani wa kata ya Gongo la Mboto akizindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa ushirikiano wake na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kilimo Bw. Moshi Mwaluko
Baadhi ya wakazi wa kata ya Gongo la Mboto wakimsikiliza kwa makini Diwani wa kata yao Mh. Jerry Silaa (hayupo pichani), wakati akiwakabidhi vifaa vya michezo pamoja na kisima cha maji
Mh. Jerry Silaa akichota maji kwenye kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa mtaa wa Kilimo, kata ya Gongo la Mboto kama ishara ya kufunguliwa kwake rasmi , huku baadhi ya viongozi na wakazi wa mtaa huo wakishuhudia
Mh. Jerry Silaa akimkabidhi seti ya vifaa vya michezo, mmoja kati ya manahodha wa timu zilizoshiriki ligi ya mpira wa miguu katika kata ya Gongo la Mboto ijulikanayo kama Jerry
0 comments:
Post a Comment