Washindi
wan ne wa kwanza wa Redd’s Miss Temeke ambao wote wamepata nafasi ya
kushiriki shindano la Taifa la Redd’s Miss Tanzania wakiwa wameshikilia
vitita vyao mara baada ya kukabidhiwa jana na mwandaaji wa mashindano
hayo, Benny Kisaka. Kwanza kulia mshindi Edda Slyvester, Flavian Maeda,
Catherine Masumbigana na Jesca Haule.
Mkurugenzi
wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto)
akikabidhi Sh. Laki 8 kwa mshindi wa pili wa shindano hilo, Flavian
Maeda.
Mkurugenzi
wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto)
akikabidhi Sh. Laki 7 kwa mshindi wa tatu wa shindano hilo, Catherine
Masumbigana.
0 comments:
Post a Comment