Mchuuzi wa Vitunguu swaumu
akionesha kisado kinavyopangwa tayari kwa kuwauzia wateja wake ambao wengi wao
ni wasafiri katika barabara kuu ya Iringa Mbeya kwenda hadi Morogoro na Dar es
Salaam. Mchuuzi huyu anadai wameamua kuchakachua kutokana na watejka wengi
kulialia bei na wao kupata hasara.
Amboni ndogo kama hiyo ikijaa
kihalali ni sh 3,000/= lakini mteja anapolia lia huuziwa hiyo iliyo nusu kwa Sh
2000/= nay eye akijua imejaa vizuri.
Hapa mchuuzi huyo akiendelea na
kuvipanga vitunguu hivyo tayari kwa kusubiri wateja wake.
0 comments:
Post a Comment