Nafasi Ya Matangazo

August 20, 2012

Wapenzi wa sanaa ya urembo nchini Tanzania, lile shindano kali na la aina tyake lililomtoa Mrembo mwenye kipaji cha michezo Miss Sport Woman 2011 katika shindano la Miss Tanzania sasa linakuja hivi karibuni mjini Morogoro. Ni Shindano la Miss Kanda ya Mashariki 2012 nipale NASHERA HOTEL mjini Morogoro Septemba 1, 2012. tembelea mtandao huu wa FATHER KIDEVU BLOG kwa taarifa zaidi.
Posted by MROKI On Monday, August 20, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo