Nafasi Ya Matangazo

August 19, 2012

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waislamu, wananchi  na Viongozi mbali mbali katika Sala ya Iddi El Fitr iliyosaliwa  Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo. Wengine ni Makamu wa Pili wa Rais, Seif Sharif Hamad
 Waumini wakiwa kwenye Sala hiyo ya Eid mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,  akisalimiana na watoto wa Kiislamu walioshiriki katika Sala ya Iddi el Firti iliyowajumuisha waislamu kutoka mitaa mbali mbali katika Mji wa Zanzibar,na kusaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
Posted by MROKI On Sunday, August 19, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo