Nafasi Ya Matangazo

August 19, 2012

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa pili kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano  kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa sita kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili  kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa tatu kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu za Sikukuu ya Eid kwa waumini wa dini ya Kiislam, baada ya kushiriki katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana  na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka katika viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, leo asubuhi.
Posted by MROKI On Sunday, August 19, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo