Nafasi Ya Matangazo

August 17, 2012

 Kiongozi wa Kundi la Mziki wa dansi la Extra Bongo, Ali Choki na baadhi ya wasanii wa kundi hilo waliandaa futari kwaajili ya watoto yatima wa kituo cha New Life cha Kigogo jijini Dar es Salaam na kula nao futari hiyo. pichani ni Ustaadh Choki akifanya mambo.
 Ali Choki akigawa maandazi kwa watoto.
Al Ustaadh Ali Choki akipeleka pwani futari hiyo sambam,ba na vijana wanaolelewa na kituo hicho cha New Life.
Posted by MROKI On Friday, August 17, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo