Mhariri Mkuu wa Thehabari.com, Joachim Mushi (kushoto) akigonganisha glasi na mkewe Hilder Mwaipopo juzi (Agost 25) kwenye mnuso wao baada ya kumeremeta katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tabata.
Hapa ilikuwa ni wakati wa Mr & Mrs Joachim Mushi kufungua muziki.
Bi. Hilder Mwaipopo (kulia) akijiandaa kumnywesha mvinyo mumewe Joachim Mushi kwenye mnuso wa kumeremeta kwa jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment