Nafasi Ya Matangazo

July 08, 2012

Kikundi kutoka Bujora kikirusha Nyoyo za watu katika uwanja wa CCM Kirumba wakati wa fainali za Ngoma za Asili zilizo zaminiwa na bia ya BALIMI kutoka Wilaya ya Nyamagana,Ukerewe,Sengerema.
Kikundi cha ngoma ya asili kutoka wilayani Ukerewe wakiwa kwenye mpambano mkali wakati wa fainali za ngoma za Asili,zilizo zaminiwa na Bia ya Balimi.
Majaji wakifuatilia mpambano wa kwanza kulia Ephaim Majinge wa pili  ni Jaji Mkuu bwana Dunia Kilonzo Mkuu wa Idara ya chuo cha walimu Butimba
 Meneja wa bia ya Balimi Ediss Bebwa (kushoto) ,akimkabidhi mshindi wa Pili  Bwana Makaranga Miugo kutoka Ukerewe , kiasi cha shilingi laki tano.
Slvester Ngabula (kushoto) Katibu  wa kikundi cha Bujora akipokea kiasi cha shilingi laki sita kutoka kwa meneja wa bia ya Balimi Ediss Bebwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika fainali ya mashindano ya Bia ya Balimi yaliyo fanyika katik a uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Posted by MROKI On Sunday, July 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo