Nafasi Ya Matangazo

June 23, 2012


 Father Kidevu Blog ipo nchini Zambia katika mji wa Lusaka na katika pita pita yake kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Keneth Kaunda kuingia mjini ilibahatika kupiga picha kadhaa za barabarani. Barabara nyingi ni safi hata za uswahilini na kubwa zaidi ni mabango mengi yalipoyopo ya kuipongeza Timu yao ya Taifa ya Chipolopolo kwa Ushindi walioupata miezi kadhaa iliyopita. Endelea kuangalia taswira hizo.
 Chata maalum ya Jogoo ambayo ni nembo ya Taifa la Zambia

 Hapa ni mitaa flani ya huko kati nilipo jihifadhi
 Hospitali Rais Mstaafu wa Zambia



Posted by MROKI On Saturday, June 23, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo