Jumla ya makampuni 114 ya Nchini Zambia leo yameshindana vikali katika mbio za 14 za Sandvik-Inter Company Relay (ICR) zilizofanyika mjini Lusaka Zambia.
Mabingwa wa mwaka 2011 wa mashindano hayo ya ICR ni Kampuni ya Sukari Zambia.
Makampuni yayo mwaka huu yanakimbia huku wakihamasisha kwa Kauli mbiu yao ya "Acha uzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto- pamoja tunaweza kushinda".
Waziri wa Jinsia Inonge Wina ndio amezindua mashindano hayo hii leo ambapo mbali na mbio nyingine lakini kulikuwa na mbio za Maofisa Watendaji wa Makampuni na kushirikisha Ma CEO wapato 87 pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi, Edwidge Mutale.
Wafanyakazi wa Makampuni hayo walikimbia na kutembea ...
palikuwa na washiriki wa kila rika.
0 comments:
Post a Comment