Nafasi Ya Matangazo

June 14, 2012

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 14, 2012.
 Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu , Tawala za mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri  akijibu maswali mbalimbali yaliulizwa na Wabunge katika kipindi cha maswali na majibu jana (leo) mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa  kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi (katikati) , Mbunge wa Afrika Mashariki Shyrose Bhanji (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Esther Bulaya(kushoto) wakibadishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
  Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim  Lipumba  akisikiliza kwa makini taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2011 na mwelekeo wa mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2012/13 iliwasilishwa leo  Bungeni  mjini Dodoma na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais   (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira.
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Vinjo, Augustino Mrema na katikati ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Olonyokie  Ole Sendeka nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo. 
Posted by MROKI On Thursday, June 14, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo