Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo maalumu na Naibu
Meya wa Mji wa Natori Mhe. Takamoto Ohta (kushoto) mara baada ya
kuwasili katika mji huo kwa lengo la kujionea uharibifu ulitokana na
mafuriko ya tsunami yaliotokea machi mwaka jana ambapo zaidi ya watu 911
walipoteza maisha na wengine 53 kutopatikana katika mji huo. Mhe. Spika
na ujumbe wa wabunge 5 wapo katika ziara nchini Japani kwa mwaliko
maalumu wa Bunge la Japani.

Naibu
Meya wa Mji wa Natori Mhe. Takamoto Ohta akimuonesha katika ramani Mhe.
makinda sehemu kubwa ya Maeneo yalioathirika na mafuriko hayo katika
Mji wa natori.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi Naibu Meya wa Mji wa
Natori Mhe. Takamoto Ohta (kushoto) mara baada ya kufanya nae mazungumzo
baada ya kuwasili katika mji huo kwa lengo la kujionea uharibifu
ulitokana na mafuriko ya tsunami yaliotokea machi mwaka jana ambapo
zaidi ya watu 911 walipoteza maisha na wengine 53 kutopatikana katika
mji huo.
Mhe.
Spika akiangalia baadhi ya Mabaki ya wahanga wa Mfuriko hayo katika
Shule ya awali ya YORIAGE ambapo picha na nguo za wanafunzi waliofariki
zimehifadhiwa.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiweka shada la maua katika eneo maalumu
lililotengwa kwa ajili ya kumbukumbu ya wahanga wa Mafuriko ya Tsunami
yaliyoikumba nchi ya Japan Mwezi Machi mwaka jana alipotembelea Mji wa
NATORI, Uliopo mkoa wa MIAGA ikiwa ni mojawapo ya miji iliyokumbwa na
mafuriko yaliyoikumba Japani Mwaka jana. Mhe. Spika na ujumbe wa wabunge
5 wapo katika ziara nchini Japani kwa mwaliko maalumu wa Bunge la
Japani.
Ujumbe
wa Tanzania ukiongozwa na Spika wa Tanzania Mhe. Anne Makinda wakiwa
katika picha ya pamoja na Naibu Meya wa Mji wa Natori Mhe. Takamoto Ohta
(Kulia) mara baada ya kuweka shada la Maua katika eneo maalumu
lililotengwa kwa ajili ya kumbukumbu ya wahanga wa Mafuriko ya Tsunami
yaliyoikumba nchi ya Japan Mwezi Machi mwaka jana alipotembelea Mji wa
NATORI, Uliopo mkoa wa MIAGA ikiwa ni mojawapo ya miji iliyokumbwa na
mafuriko yaliyoikumba Japani Mwaka jana. Mhe. Spika na ujumbe wa wabunge
5 wapo katika ziara nchini Japani kwa mwaliko maalumu wa Bunge la
Japani. Kushoto ni Mhe. Tundu Lissu, Mhe. Anne Makinda, Mhe. Rukia
Ahmed, Mhe. James Lembeli, Mhe Anne Kilango Malecela, Naibu meya wa Mji
wa Natori Mhe. Takamoto Ohta na Mhe. Godfrey Zambi.Picha Zote na owen
Mwandumbya wa Bunge
0 comments:
Post a Comment