Nafasi Ya Matangazo

May 11, 2012

Meneja wa bia ya Serengeti  SBL Bw.Allan Chonjo akimkabidhi Bi Agness Msengi jenereta aliyojishindia katika promosheni ya Vumbua Hazina chini ya kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo kupitia bia zake za Tusker Lager, Plisner Lager na Serengeti Premium Lager.
Menja wa bia ya serengeti Bw Allan Chonjo akimkabidhi bw.Amadeus Minja jenereta aliojishindia kuopitia promosheni inyoendeshwa na kampuni ya bia ya serengeti
Washindi wakishangili kwa ma  pamoja na meneja wa bia ya Serengeti Premium  Lager Bw. Allan Chonjo mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao jana.
Posted by MROKI On Friday, May 11, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo