EATV wakiwafanyia mahojiano maalum baadhi ya wanamuziki walioshinda Tuzo za Kili Music Award 2012 na waliofika mjini Mtwara katika tamasha maalum la washindi hao mkoani hapa. Mahojiano hayo yalifanyika kwa staili ya aina yake katika ufukwe wa Bahari ya Hindi pale Makonde.
Mahojiano yakisubiri kuanza huku Dulla kati mwenye Plannet Bongo akila pozi. Wasanii hawa na wengine watatumbuiza kesho katika Uwanja wa Umoja Mjini Mtwara.
Mahojiano yakiendelea
AT akiongea na Omy Dimpoz
Locatuion hakika ilikuwa poa na kila angle ilipatikana bila tabu
Toka kulia ni Ester kutoka Frontline akiwa na wadau wa EATV Happy (kati) na Olympio. Walihakikisha kila kitu kiko poa.
Kijakazi Yunus 'Kija' uzalendo ulimshinda akaamua kulamba hii na AT
Kikosi Kazi cha EATV kilichofanya mahojiano hayo na wasanii katika picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment