Nafasi Ya Matangazo

May 26, 2012

 Camera ya Father Kidevu leo ilikuwa Makonde Beach mkoani Mtwara na wasanii, na hizi ni taswira iliyozinasa katika majabali yaliyopo katikia ufukwe huo wa Bahari ya Hindi hapa mjini Mtwara ambapo pichani anaonekana Mwanadada Queen Darling akishow Love katika snape hii na DJ Choka wote kutoka jijini Dar es Salaam.
 Mkali wa Nani Nani Omy Dimpoz hapa nae alikuwa kivyake nadhani alitaka waonanane Baade kama inavyosema Ngoma yake mpya aliyoizindua hivi karibuni na kushika kasi.
 Baadae ilifikia kwa Omy Dimpoz na Queen Darling kuwa pamoja katika picha namna hii.
Queen Darling hapa nae akiwa kivyake sasa katika pozi.
Posted by MROKI On Saturday, May 26, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo