Timu ya mashabiki mbalimbali wakishangilia ubingwa kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kwenye fainali za Afrika nchini Afrika ya kusini.Bonanza hilo liliandaliwa kampuni ya Bia Tbl kupitia Bia ya Castle Lager kwenye fukwe ya Mbalamwezi jijini Dar Es Salaama,Anaekabidhi zawadi ni meneja wa Bia ya Castle lager Kabula Nshimbo.
May 14, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment