Mwanahabari
Alein Philip wa Ebony Fm ,Happines Matanzi wa Tanzania daima Iringa
,Paulina Kuye wa Nuru na Laurian Mkumbata wa ITV wakivuta daraja la mto
Mdonya katika hifadhi ya Ruaha
Wanahabari
wakivuka daraja la kamba ya mto Udonya katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha
hakika ni zaidi ya utalii iwapo utafika hifadhi ya Ruaha Iringa
Mwanahabari
wa radio Country Fm Iringa Sophia Mpunga (kushoto ) akiwa na mwandishi
wa radio Nuru Fm Mahija Zayumba katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha huku
nyuma yao kukiwa na twiga
Mwanahabari
Paulina Kuye wa Nuru FM akipiga picha na Twiga katika hifadhi ya Taifa
ya Ruaha wakati wa ziara ya wanahabari mkoa wa Iringa katika hifadhi
hiyo ya Ruaha
Wataka kujua dhidi ya Swala ?
Mwandishi
wa habari wa ITV mkoani Iringa Laurian Mkumbata akijiweka sawa kwa
kuchukua matukio katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha baada ya ziara ya siku
tatu ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi hiyo kubwa kuliko
zote Tanzania
Mwandishi wa habari wa Nipashe Iringa VickyMacha akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa hifadhi Bw Marando
Madereva wa gari la wanahabari wakishangaa wanyama katika hifadhi hiyo ya Ruaha
Wanahabari
mkoani Iringa wameanza kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi ya
Ruaha kama njia ya kuwahamasisha zaidi watanzania kupinda kutembelea
hifadhi hiyo ya Ruaha Iringa ambayo ni hifadhi kubwa kuliko zote
Tanzania ila pia kuhamasisha utalii katika hifadhi za mikoa ya kusini
ikiwemo ya Kitulo, Katavi na Ruaha ambazo bado zipo nyumba kwa
uhamasishaji. Picha zote na Francis Godwin
0 comments:
Post a Comment