Wadau nipo Kijijini kwangu Kinyenze Wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro takribani siku ya tatu leo na huenda mkawa mnaona mambo hayaendi mlivyozowea. Nipo Mapumzikoni ikiwa ni pamoja na kushughulikia mambo kadhaa ya Kijijini kwangu. Asubuhi hii nilizama bandani na kuibuka na haka kajamaa baada ya Kumiss sana Chai ya Mjini.
Dah! mniwie radhi kama sijafuatarti na huenda nimekiuka haki za wanyama lakini ntafanyanyaje sasa lazima hili litimie...
Nilishabandika maji jikon hapa akinyonyolewa na ukipita Jalalani ukauna Manyoya basi jua kisha liwa huyu!!
Ebwanaee mpango mzima ukamili hapa Kitu cha Supu ya Kuku wa Asili "Kuku wa Kienyeji" kipo tayari mezani na mbili za uhakika.
Haya sasa washakaji unajua Chai ya Mjini ni Supu! Karibuni mimi ndo kama hivyo na huu ndo mpango mziraha ya kuwa unatembelea Kijijini kwenu mara kwa mara ndio hii.
Duh! kaka nimeona kwa mbali ulikuwa unamuhurumia kuku maana ulikuwa unasikiliza mziki...Haya mie nakuja usimaliza maan mchemsho unaonekana mtamu muno:-)
ReplyDeleteKaka wewe noma hongera sana!
ReplyDeletehahahahahahaa umenitiririsha mate,nimekumbuka kule kwetu Jamani
ReplyDeleteFather kidevu hebu nikumbushe kijiji cha Kinyenze kipo njia kuu gani?
ReplyDelete