Haya si maandazi au keki! bali ni vipande vya udongo vilivyokatwa vyema kwa takribani kiwango sawa na kuwekwa sokoni tayari kwa watu kula. Ajabu hii watu kula udongo na udongo huo kuuzwa lakini unaweza dhani hii ni nchi za wenzetu lakini lahasha hii ni nyumbani kwetu Tanzania na hapa ni Uchagani.
mfanya biashara wa udogo katika Soko la Mbuyuni mjini Moshi akiwa katika eneo lake la biashara akiuza udogo na bidhaa nyingine sokoni hapo. Hiki ni chakula na hutumiwa sana na wanawake hasa wale walio katika vipindi vya ujauzito.
Dah! amakweli Wanawake wanakazi.....




Kazi kweli kweli.....!!!!!
ReplyDeleteni kwa sababu miili yao inawasukuma kula
ReplyDelete