Wazee kama hawa mara nyingi hukaa tu vijiweni na kucheza bao na kunywa gahwa hapa kwetu Tanzania lakini huko kwa wenzetu wazee hukutana siku moja moja na kusakata kabumbu na kukumbuka enzi zao. Lakini pia hutumia mchezo huu kama sehemu ya kujenga afya zao na kuwafanya waishi miaka mingi. wakiwa wenye afya na nguvu.
March 10, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment