Nafasi Ya Matangazo

March 12, 2012

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi,Sioi Sumari  akihutubia kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zake ulioongozwa na Mwenyeki Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa na kuhudhuriwa na maelfu ya watu waliovalia mavazi ya chama hicho tawala zilizofanyika katika  Uwanja wa Ngaresero.
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akizindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki leo katika Uwanja wa Ngaresero.
Wananchi wa Arumeru Mashariki wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM leo.
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimnadi mgombea ubunge wa tiketi ya CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi huo kwenye Uwanja wa mpira wa Ngaresero leo.
"Wenzetu alama yao ni hii hapa, haina maana yoyote ityoeni", ndivyo alisema Kaaya kisha akakitupa hicho kijiti alichokuwa akionyesha. Kushoto ni mratibu wa kampeni za CCM kitaifa Mwigulu Nchemba.
 . Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akizungumza.
 Mratibu wa kampeni za CCM, jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu Nchemba akiongoza msafara wa waendesha pikipiki kuingia uwanjani kwenye uzinduzi kampeni za CCM. Kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Martine Shigella.
 Waendeshas pikipiki wakipoiga misele baada ya kufuka uwanjani.
 Moaja wa makada wa CCM ambao walionekana kuhamasika kwenye mkutano huo wa uzinduzi kampeni za CCM.
 . Wananchi wakishangilia wakati msafara wa Mkapa ulipopita mitaani kwao kwenye kwenye Uwanjani kuzindua kampeni za CCM.
 Mmoja wa walioshiriki kura za maoni kupata mgombea wa CCM, Elirehema Kaaya (kulia) akimpongeza mgmbea ubunge kwa tiketi ya CCM Arumeru Mshariki Sioi. wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.
 William Sarakikya aliyekuwa mmoja wa washiriki kura za maoni kupata mgombea wa CCM, akieleza jukwaani kuwa hana kinyongo na kwamba yupo bega kwa bega na mgombea wa CCM Sioi Sumari.
 Masanja wa Orijino Komedi akifanya manjonjo yake mbele ya umati, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM leo.
Pamela Sioi Sumari akimnadi mumewe Sioi Sumari wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo za CCM. Pamela ni mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa.
Posted by MROKI On Monday, March 12, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo