Nafasi Ya Matangazo

March 01, 2012

George Mbowe, 1935 - 2012
 Familia ya George Mbowe wa Msasani, Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao, Mzee George Frederick Mbowe, kilichotokea usiku wa kuamkia leo jumatano 29/2/2012 nyumbani kwake.

Mipango ya mazishi inafanyika nymbani kwa marehemu Plot. No. 94, Msasani, Old Bagamoyo Road karibu na nyumbani kwa Rais Mstaafu , Ali Hassan Mwinyi.

Misa ya kumuage marehemu itafanyika Ijumaa saa nane mchana katika kanisa la Anglican St. Alban.  Heshima za mwisho zitatolewa pia nyumbani siku ya Ijumaa saa 12 jioni.

Mazishi yatafayika Dodoma siku ya jumapili saa kumi jioni.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA MBINGUNI. AMEN.
Posted by MROKI On Thursday, March 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo