Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2012

Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati wa halfa fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwaajili ya familia kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited. Wanaoshuhudia  toka (kulia) ni meneja wa Airtel money Asupya Nalingingwa na Afisa Mauzo wa SAIL bwana Daniel Kimati (kushoto).
Afisa Mauzo wa SAIL bwana Daniel Kimati akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited. Wakishuhudia katikati ni Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando  akifuatiwa na meneja wa Airtel money Asupya Nalingingwa.
Waandishi wa habari wa vyombo vya habari tofauti wakishuhudia uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwa ajili ya familia kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuniya Airtel Tanzania.
Posted by MROKI On Friday, March 02, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo