Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Muindo-mbinu ya Elimu katika Kata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam Machi 17,2012.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye traki suti ya blue) akiongoza matembezi ya Uzinduzi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Muindo-mbinu ya Elimu katika Kata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam Machi 17,2012. Pichani ( kulia) ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ,Jerry Slaa, Katika matembezi hayo zilipatikana fedha na ahadi zaidi ya shilingi 18 milioni -.,ambapo Taasisi ya WAMA wamechangia milioni mbili (2m/-), na Wazziri wa Nishati na Madini pamoja na wadau wake wamechangia shilingi milioni10 (milioni kumi)
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (alievaa traki suti ya Blue) akizindua Matembezi ya Mkakati wa Uboreshaji wa Miundo-mbinu ya Elimu katikakata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala,mkoa wa Dar es Salaam Machi,17,2012.(pichani kutoka kulia wapili mwenye miwani)ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala.Jerry Slaa,(akifuatiwa na alievaa traki suti nyeupe) Diwani wa Kata ya Kipawa Bona Kalua, Sherehe hio pia imehudhuriwa na viongozi mbalimballi wa Serikali na wadau wa sekta ya uboreshaji wa miundo-mbinu ya elimu na mazingira wa kata hiyo

Baadhi ya wanafunzi wakijipanga kwaajili ya kuanza matembezi ya Uzinduzi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundo- Mbinu ya Elimu katika kata ya Kipawa , Manispaa ya Ilala -Machi 17,2012
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akipokea mchango wa shilingi elfu tano kutoka kwa mwanafunzi aliekuswa na mkakati wa Uboreshaji wa Miundo- mbinu ya Elimu katika kata ya Kipawa ,Manispaa ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Machi 17,2012 jijini Dar es Salaam. (kulia) Ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa, akifuatiwa na Diwani wa Kata ya Kipawa Bona KaluaWanafunzi na wakazi wa Kipawa jijini Dar es Salaama wakimsikiliza mama Salma Kikwete.

0 comments:
Post a Comment