Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam leo wameungana na Familia ya Mhandisi Mponzi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam akatika misa maalum ya kumuaga binti yao kipenzi Jane G. Mponzi aliyefariki juzi Machi 4,2012 saa 4 asubuhi baada ya kuugua ghafla. Jane Mponzi aliyekuwa Mfanyakazi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom na shabiki mkubwa wa Timu ya Simba ya Dar es Salaam pamoja na Man U aliagwa kwa awamu mbili ambazo zote zilifurika watu isivyotarajiwa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwao na marehem,u jijini Dar es Salaam.
Ben Mponzi mdogo wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu dada yake.
Waombolezaji wakiwa nyumbani katika msiba.
Familia ya Mzee Mponzi ikiwa Kanisani
Waombolezaji waliofika katika Misa maalum ya kumuombea Marehemu Jane wakiwa Kanisani St Peter Dar es Salaamkabla ya mwili kusafishwa kwenda Tosamaganga Iringa kwa maziko kesho mchana.
Kiukweli watu walikuwa wengi sana na magari yalikuwa mengi hadi Shule ya Msingi Oysterbay.
Athumani Hamisi alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jane.
Watu kutoka Vodacom nao walityoa heshima
Viongozi wa Dini na wanasiasa nao walifika kutoa heshima za Mwisho kwa marehemu Jane Mponzi.
baba wa Marehemu akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jane Mponzi.
Wanafamilia
Mwili ukitolewa nyumbani
Padri akiunyunyizia maji ya baraka
Padri akiendesha misa maalum ya kumuombea marehemu.




Ni ngumu sana kukubali jambo hili kwa mtu unayemjua... Tumuombe Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.. Amin
ReplyDeleteMiss Mdemu
The Lord giveth & the Lord taketh! May her soul R.I.P. My condolence to the family
ReplyDeleteREST IN PEACE MAMY!
ReplyDeletekwa imani tutaonana nae ila ni ngumu sana cha muhimu sie tuliobaki kauangalia mwenendo na matendo kwani yatatufuata siku ya mwisho tubadilike na kutafuta amani na watu wote hata unapoondoka waseme na waige uliyoacha kumbuka matendo yako unaondoka nayo na hukumu yako ni ya milele angalia matendo yako alale pema peponi
ReplyDeletemungu awajaze nguvu wafiwa...rest in eternal peace Jane...
ReplyDeletemay her soul rest in peace.
ReplyDelete