Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2012


Rais Jakaya Kikwete akizindua mojawapo ya vitabu vya muongozi wa Jeshi la Polisi  wakati wa  ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012  Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha wa kulia Rais ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama
Sehemu ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi uliofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Moshi leo Machi 6, 2012 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012 tayari kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha na kushoto kwake ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema.
Posted by MROKI On Tuesday, March 06, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo