Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika leo Kijiji cha Mikandini jimboni humo.
Mgombea ubunge wa CCM, Arumeru Mashariki Sioi Sumari akisalimia mtoto Salehe Khalfan (3) aliyemkuta kwenye mkutano wa kampeni kijiji cha Mikandini
Mratibu wa kampeni za CCM uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi kwenye mkutano wa Mikandini leo.
Wazee wa kijiji cha Mikandini jimbo la Arumeru Mashariki wakifuatilia kwa makini hotuba ya Sioi wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye kijiji hicho.
Wananchi wakiwa mkutanoni.









0 comments:
Post a Comment