Mgeni rasmi Bw Sadrudin Shariff akitoa hotuba katikati akitoa hotuba kwa wageni waliodhuria hafla ya makabidhiano ya jengo makabidhiano rasmi ya jengo maalumu kwa ajili ya watoto wenye walemavu wa akili. Kushoto Bw. Brad Morrow, akifutiwa Bi Rose Rupia mwenyekiti, kulia katikati mwalimu mkuu Bi Esther Mwambapa na mwisho kulia ni Bi Flora Petro mratibu wa elimu kata ya Kigogo.
Baadhi ya wazazi waliodhuria kushudia makabidhiano ya jengo hilo. 
Bw. Sadrudan Shariff mbele katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wanakikundi baada ya mabidhiano ya jengo hilo.
Picha na Full Shangwe Blog.




0 comments:
Post a Comment