Mhe Diwani wa Kata ya Mbuyuni Manispaa ya Morogoro, Samuel Msuya,akimkabidhi kaimu mwalimu mkuu wa shule hiyo ya kata,vitabu 300 vya masomo ya hisabati na fizikia kwajili ya kufundishiwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne kwa shule ya kata yake. Kulia kwake ni Mbunge wa jimbo la Mvomero Amos Makalla ambaye ndiye alimpatia msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 4.
March 01, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment