Nafasi Ya Matangazo

February 02, 2012

Mwakilishi wa UNEP Nchini Tanzania Bi Clara Makenya akizungumza kwenye Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu iliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Dk Julias Nigu,Mkurugenzi Utawala Rasilimali watu Bw. Tutubi Mangzen, Mkurugenzi Baraza la Taifa NEMC Eng. Boniventure Baya na Mwakilishi wa UNEP kutoka Paris Bikhairoo Abass, leo Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaa.[Picha na Ali Meja]
Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Tutubi Mangazen akifungua Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais, kulia ni Mukurugenzi Mazingira Dk Julias Ningu, Mwakilishi wa UNEP Paris Bi. Khairoon Abass , Kushoto Mkurugenzi wa Barazi la Taifa na Uhifadhi wa Mazingira [NEMC]Eng. Boniventure Baya na Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania Bi. Clara Makenya[Picha na Ali Meja]
Washiriki wa Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi endelevu wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara baada ya Ufunguzi leo kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Thursday, February 02, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo