Mchungaji Mitula Mkumbo kutoka shirika la dini la New Covenant Ministry/ Huduma ya agano jipya ambaye ni Mkurugenzi wa huduma akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam kuhusu maadalizi ya warsha ya siku moja ili kukutana na Mashoga,Wasagaji na Machangudoa hapo Februari 25,2012 kama sehemu ya shughuli zake za kuwarejesha watu waliokataliwa na waliotengwa ama kunyanyaswa katika jamii. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
January 27, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tatizo ni wachungaji wa mshahara, wote wasiookoka ni wenye dhambi. la maana ni kupiga gombo watu waache dhambi na kumrudia Yesu Kristo. Kwenye Biblia mashoga na jamii hiyo wanaitwa mbwa. sasa namuliza mchungaji je, lini alishawahi kuita washa, kwa maana ya makundi, ya walevi, wachawi, walarusha, waongo, waabudu sanamu,n.k. wote ni wenye dhambi na wapo makanisani tena hata kwake--kwy kanisa haswa yanayoitwa conversion churches. Je, hao amewaponya kwa namna gani?
ReplyDelete