Mshambuliaji wa Twiga Stars, Mwanahamisi Omari akiruka daruga la beki wa Namibia, Esther Amukwaya.
Wachezaji wa Twiga Stars kutoka kushoto ni, Mwanahamisi Omari, Etoe Mlenzi na Pulkaria Charaji wakishangilia ushindi wa timu yao.
Kikosi cha timu ya taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na timu ya Namibia wa kufuzu Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake (AWC) uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Twiga Stars imeshinda 5-2.
Mshambuliaji wa Twiga Stars, Asha Rashid ‘Mwalala’ akimtoka beki wa Namibia, Lovisa Mulunga.
Mashabikiwa kila namna walikuwepo kuipa nguvu timu ya Twiga Star
Wadada wa kibongo wanacheza mpira bwana, wanaume wa bongo hakuna kitu. Twiga wapewe sapoti ya kufa mtu naamimi wataleta kombe la DUNIA BONGO. Wanawake wakiwezeshwa kwa kweli wanaweza tumilioni kadhaa walitopewa wamepigamnamibia gori 5 je wakiwezeshwa mamilioni kama wanayopewa Taifa satars kwanini kombe ladunia lisiletwe bongo na hao wadada zetu?. TUWAPE SAPOTI KWASABABU WANAWEZA.
ReplyDelete