Nafasi Ya Matangazo

January 26, 2012

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya Andiko la Serikali kwenda jumuia za Kimataifa kudai kuongezewa sehemu ya bahari. Waziri Tibaijuka aliamua kutolea ufafanuzi huo hii leo jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka kwa mijadala juu ya mpango huo.
Waziri Prof. Tibaijuka akizungumza na wana habari hii leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi Dk. Selassie Mayunga
 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza huku wengine wakichukua dondoo kutoka kwa yale aliyokuwa akiongea Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waandishi wahabari waliendelea kumbana kwa maswali hata baada ya kumalizika kwa mkutano huo hii leo.
Posted by MROKI On Thursday, January 26, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo