Mpiga gitaa la bass wa Extra Bongo akipiga gitaa huku mnenguaji wa bendi hiyo akicheza mbele yake wakati msafara huo ulipopita katika barabara ya Uhuru leo.
Maandamano ya magari na watu yalikuwa ni msururu mrefu wakati wa kutangaza Promotion hiyo mpya ya muonekana mpya wa Bia ya Serengeti.
Meneja wa kinwaji cha Serengeti Lager kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo anayeendesha gari pamoja na Kanji ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni hiyo wakiongoza msafara wakati ulipopita mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam leo, kuutambulisha muonekano mpya wa nembo ya bia ya Serengeti Lager huku ikiwa na ubora na viwango vilevile.
Ni kuitangaza Serengeti Lager tu mwanzio mwisho katika muonekano wake mpya.
Yes ni muonekano mpya wa dhahabu!!!
0 comments:
Post a Comment